Malaika walitoa wapi panga huko Mbinguni?

Hizo ni story tu. Kingekuwa ni kipindi cha rocket wangekuja na Skendo za rocket
 
Ungeweza ķutafuta wewe unetokaw wàpi hata upanga usinge shan̈gaa ulipotokà
 

Ulitaka mtunzi wa zama hizi akiandika aache kutumia teknolojia iliyopo?
 
Kwa sababu kwenye Biblia za Kingereza wanaandikwa kwa pronouns za kiume "he" "his"
Sikuulizi jinsia nakuuliza Kuhusu Jina. Nani anaamua Jina Liwe la Jinsia Fulani?
 
Sikuulizi jinsia nakuuliza Kuhusu Jina. Nani anaamua Jina Liwe la Jinsia Fulani?
Labda mungu na wanadamu,
Hawa-mama wa wote wenye mwili.
Adamu-mtu mwanaume.

Wewe unafikiri nani anaamua jina liwe la jinsia fulani?
 
Hamkusomaga uzi humu jamaa anasema shetani anakujaga duniani anatembelea range na huvaa suti nyeus na hupenda kwenda club
 
Kuna majini wanawake kama Maimuna na Ummu subian, angalau upande huo mmekumbukwa😁
Hili swali lako naeza wekea mfano robot sophia baadae aje aulize kwann binadam ana uboo na mbunye ye hana
 
neno la Mungu ndo upanga: waebrania 4:12-13
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…