Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*MTOTO:* mama kwa nn unamuita mdogo angu malaika
*MAMA:* kwa sababu yeye ni mdogo sana na yupo kama malaika,
kwa nini umeuliza mwanangu?
*MTOTO:* nimemrusha dirishani nashangaa hajapaa
mama kazimia!!!
*[emoji15] [emoji15] [emoji15] *
*MAMA:* kwa sababu yeye ni mdogo sana na yupo kama malaika,
kwa nini umeuliza mwanangu?
*MTOTO:* nimemrusha dirishani nashangaa hajapaa
mama kazimia!!!
*[emoji15] [emoji15] [emoji15] *