hali si shwari kwa wafanyakazi wa chuo cha cedha arusha
tunaomba wizara itusaidie matatizo yaliyopo chuo cha cedha-arusha,
tunaomba wizara itusaidie matatizo yaliyopo chuo cha cedha-arusha,
mfano:
1. ameshikilia madaraka yote!!! Hajui uongozi kila kitu ni yeye na wala hataki ushirikiano na wafanyakazi wa idara zingine. Ana mahusiano ya karibu na wahasibu wote wawili wa chuoni hapa. Na wahasibu hao wawili ni mume na mke jee iweje mume na mke wakamate nafisi moja kwenye kitengo nyeti kama hicho? Na mkuu wa chuo haoni tatizo hapo??? Wahasibu hao (mke na mume) ajira yao haina muda mrefu lakini wanatumia fedha za chuoni kama ni za kwao binafsi.
2. huyu mkuu wa chuo amekuwa na tabia ya kuomba ngono kwa wafanyakazi na mmoja wao alikuwa kwenye mafaili ( aisha sware) na aliyekuwa receiption (rose mbise) kwa sasa hawapo tena .
haya ni baadhi tu ya maovu yake. Tunaomba wizara itupe ushirikiano wa karibu kuona jinsi gani chuo kitandeshwa kwa amani
tunakuomba ndugu blandina nyoni ufanye uchunguzi na hata kuunda tume ili ije ifanye uchunguzi hata kwa kura za siri kwa wafanyakazi na kubaini haya tusemayo kama ni kweli ama la.
hatumtaki huyu mkuu wa chuo. Tafadhali wizara itusaidie.