A
Anonymous
Guest
Kwa niaba ya wanafunzi waliohitimu kozi zote za afya ngazi ya cheti na diploma nchini toka kwenye vyuo vilivyosajiliwa ambavyo vipo chini ya baraza la elimu na mafunzo ya ufundi(NACTVET) hadi leo hawajapata vyeti vyao vya kuhitimu kutoka kwa baraza hilo bila sababu maalumu ya kueleweka ilhali wanafunzi walifanya mitihani yao tangu mwezi September na matokeo kutoka mwezi October mwaka 2023 Ila cha kushangaza hadi leo hakuna vyeti na hakuna maelezo wala taarifa yoyote rasmi inayosema vyeti hivyo vitatoka lini.?
Hali inayopelekea wahitimu hao kuendelea kutaabika mitaani pamoja na ujuzi waliokuwa nao sababu hakuna kitu wanaweza fanya bila vyeti hivo sio kuajiriwa wala kujitolea sehemu yoyote.!
Tunaomba mtusaidie kuuliza kwa mamlaka husika ni lini wana mpango wa kutoa Hivyo vyeti ili watu waendelee na maisha yao mengine kuliko hiki kinachoendelea kwa Sasa.!!
Natanguliza shukran zangu za dhati, Naamin Jamii forums mtatusaidia katika hili.!
Ahsante..!!