ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 21,643
- 51,642
Ikiwa umejaribu mahusiano na mara kadhaa umeshindwa ku move on (yaani kuanzisha familia maana ndo lengo kuu) ebu jipange mwaka huu tuliza kichwa mwakani utafute mwanamke yufuatayo.
1. Nenda kijijini kwenu tafutia mwanamke huko ambaye babu zako na bibi zako wanawajua watu wa ukoo wake.
2. Awe mzuri tena mwenye shepu haswa.hakikisha anakuwa mnene kiasi hivi yaani minyama nyama nadhani nishaeleweka kitu kizuti kinajulikana..usafi,rangi,shape(hips) na mwendo wake jinsi anavyotembea
3. Awe na elimu ya kawaida hasa form 4 ndo itapendeza zaidi ikiwa wewe una elimu ya chuo..
4. Umzidi miaka mi 5-7 hivi..ningeweza kushauri ingependeza zaidi mwenye mtoto hata mmoja vizazi vyao vizuri ila tatizo watu tayari wana mioyo migumu hawataelewa..anyway mpate tu yoyote hata aliyewahi kutoa mimba poa tu.
5. Dini muhimu sana mtokee dhehebu moja so sio mbaya kumtafutia kanisani kwenu huko au msikitini kwenu.
6.mipango ya ndoa usifanye haraka tulia kwanza chukua mke wako kwa msaada wa wazazi wako wakayajenge tu kinyumbani kwanza chukua mkeo njoo naye town.
7.hakikisha asiwe na njia zozote za uzazi
8.kaa na mkeo mpende na umuheshimu na sio kumpiga wala kumtendea vibaya...
9.muanzishie biashara aweze kupata pata na yeye vihela vyake raha wote muwe na hela ..kama hana ujuzi mfungulie hata duka la vinywaji akomae hapo.
Kama unataka mwanamke mkae naye huyo ndo safi sasa ukimshindwa na huyo basi.sii kila siku kulalamikia wanawake wakati bado hujajaribu wanawake tofauti tofauti..mtu analalamikia wanawake halafu hajawahi hata kulala naye miezi mitatu mfululizo.