Malalamiko ya wafanyakazi na wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere

Ngasea

Member
Joined
Apr 5, 2013
Posts
21
Reaction score
2
Hatimaye malalamiko ya wafanyakazi na wanafunzi wa chuo cha Mwalimu Nyerere (kivukoni) yamemfikia Rais Jakaya Kikwete. Habari kutoka Ikulu zinasema kuwa malalamiko hayo yameandikwa kwa mfumo wa barua na kuwasilisha kwa Rais na wafanyakazi wawili na mwanafunzi mmoja.

Naimani sasa mkuu Uzalendi, Mpalamtoko, mmroroi, na wengine mtatulia.
 
  • Ni kweli hiki chuo kina malalamiko mengi, Mfano hai ni hizi thread.
Code:
[URL]https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-sheria-the-law-forum/480349-ushauri-wa-kisheria-kutokana-na-kuonewa-na-uongozi-wa-chuo-cha-mwl-nyerere-kigamboni-2.html[/URL]
Code:
[URL]https://www.jamiiforums.com/habari-na-hoja-mchanganyiko/516212-uthibitisho-wa-tuhuma-zilizopo-chuo-cha-kumbukumbu-ya-mwalimu-nyerere.html[/URL]
  • Hapa kilichopo ni kuchukua hatua zinazostahili mapema iwezekanavyo, ili kuwasaidia wanaosoma kwenye hiki chuo.
 
Strange, wakati wengine wakibishana ubora wa Vyuo vyao, kuna watu wako bize ile mbaya kikisiriba Chuo hicho!
Kwa maoni yangu, baada ya kupitia nyuzi kadhaa za kusiriba hicho Chuo, Wasiribaji wanaongozwa zaidi na chuki binafsi kiasi cha kuwafanya wasistahili kuitwa whistleblowers.

Hali hii ina athari nyingi sana kwa Chuo au Taasisi. Mojawapo, baadhi ya Maofisa Uajiri wanaingia JF. Picha wanayoipata kwa Chuo kutoka na maandishi juu ya Chuo inaweza kuathiri fikra zao juu ya Wahitimu wa Chuo hicho. Nina uzoefu na hilo - miaka kadhaa iliyopita nikiwa katika jopo la ajira ktk NGO moja ya KiMarekani, tuliwaengua Waombaji Kazi, waliokuwa wameshinda hatua kadhaa za Usaili, kwa sababu za sifa mbaya tuliziona katika mtandao kihusishwa na Chuo kama Taasisi.

Kwa Wazazi, Walezi, n.k., watakuwa na haki ya kusita kuruhusu Watoto kujiunga na Chuo hicho kwa sababu Chuo kimepakwa karibu kila aina ya uchafu hasa kupitia JF!

Something must be done, and, immediately!
 
Itakuwa vema hao mchwa wang'olewe maana ni kansa kwa elimu ya Tanzania.
 
Unavyoeleza tu kila mtu ameshakuelewa uwezo wako pamoja na kujitahidi kufunika mambo, uliza walioko pale kuna tatizo kweli limejificha kwa Mkuu wa Chuo hicho kuonekana nje kuwa ni kondoo kumbe ni chui huko ndani, fanya utafiti kabla ya kusema.
 
Unavyoeleza tu kila mtu ameshakuelewa uwezo wako pamoja na kujitahidi kufunika mambo, uliza walioko pale kuna tatizo kweli limejificha kwa Mkuu wa Chuo hicho kuonekana nje kuwa ni kondoo kumbe ni chui huko ndani, fanya utafiti kabla ya kusema.

Poa Mkuu, ninaamini solution itapatikana mapema sana. Inasikitisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…