johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Moja ya sababu kubwa anayolalamikia Wakili msomi Nkuba ni Taarifa za Matokeo kuanza kutolewa kabla Msimamizi Mkuu wa Uchaguzi Hajatangaza.
Nkuba anaamini kabisa matokeo halali ni yale majumuisho yanayotangazwa na msimamizi wa Uchaguzi.
Namkumbusha tu Nkuba hii ni Dunia ya Sayansi na Teknolojia Ndio sababu hata Maalim Seif mwaka ule 2015 aliweza kuhesabu kura zake zote kabla Jecha hajachafua hali ya hewa.
Lakini Wakili Msomi Nkuba amewafumbua macho CHADEMA namna wanavyoweza kulinda Kura zao ni kutumia mitandao ya Kijamii ipasavyo.
Mwisho nakubaliana na Tundu Antipas Lisu kwamba Mawakili wa Kenya wako mbele ya Mawakili wa Tanzania kwa hatua 100.
Sabato Njema 😄😄😄
Soma pia: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274