Malalamiko ya Walimu .....Tulioajiriwa kama Walimu wa Leseni

Malalamiko ya Walimu .....Tulioajiriwa kama Walimu wa Leseni

Mr.Busta

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2011
Posts
672
Reaction score
99
WANAJF

Nia yangu nikupata kutoa kero yangu na kuwaomba watu ambao wanaweza kutusaidia sisi walimu tulioajiriwa kama walimu wa lesen.kwani tulikuwa tunalipwa 80% ya mshahara wa diploma na bila makato yeyote kama sheria zinavyo sema.lakini cha ajabu serikali imeamua kutukata tunaombeni msaada wenu.najua kuna watu wengi ambao watakuwa na uelewa na hili suala hasa tunawaomc wabunge watusaidie katika kipindi hichi cha bajeti ya wizara ya elimu.pia tunapojiendeleza uzoefu wetu kazini hauzingatiwi.tunahitaji msaada wenu.
 
Na mimi naomba kujua, je kipindi cha kufundisha kwa leseni hakijaisha? Je mkataba wako na mwajiri unasemaje kuhusu makato na michango mingine kama ya bima?
 
Back
Top Bottom