Malale 50: Jumamosi Tutafuta Uteja Wetu 'wa milele' Dhidi ya Simba SC.

sembo

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
4,350
Reaction score
3,451
Kocha Mkuu wa Ndanda, Ndugu Malale 50 ameapa Jumamosi anaenda kufuta uteja dhidi ya Simba SC.
Namnukuu.. "Jumamosi tunaenda na mfumo wa 4-2-3-1 ambao naamini utaweza kuwamaliza haraka Simba".

Ikumbukwe;
1. Tangu Ndanda ipande daraja mwaka 2014 haijawahi kuifunga Simba SC katika mchezo wowote.
2. Katika TPL msimu huu, mpaka sasa Ndada kacheza gemu 3, kashinda 1 kafungwa 2.. Kafunga goli 1, kafungwa goli 4.
Sasa kwa beki hii mbovu + lile 'shati' lao golini, unawazuiaje MK14, Okwi au Kichuya? Hapo sijagusia safu yao mbovu ya ushambuliaji itakayokuta na Ukuta wa Berlin unaoongozwa na Jenerali Wawa.


Ndugu Malale 50, kama unataka kupunguza idadi ya magoli tutakayokufunga tumia mfumo wa 10-0-0, la sivyo tutakushushia gharika kama tuliowashushia Ndala mwaka 1977.

Tukutane Nangwanda Sijaona 15/09/2018.

Nikiripoti nikiwa safarini kuelekea Mtwara... Ni Mimi sembo wa Simba TIIIIIIIIVIIIIIIIIIIIIIIIII (in George Maratu Voice)
 
Hatununui siye tunampiga mti kikatili tu.
Hahaha.. Tunaisubiri 30/09/2018 kwa hamu sana ili tuone huo ukatili wenu wa kujipiga kitanzi na mchuzi wa mlenda.
 
MK14 yani yeye kwake kufunga ni ibada,,
Mkuu, huyu MK14 hazuiliki kabisa. Beki bora kabisa duniani kwa sasa, anayekipiga katika timu ambayo inafundishwa na kocha anayeongoza kwa kutengeneza mabeki wakatili, Jose Mourinho, Ndugu Erick Bailey kakiri hilo.
 
Yule Kambi bado yupo Mtwara kama yupo basi Ndanda kipigo akiepuki
 
Mkuu, huyu MK14 hazuiliki kabisa. Beki bora kabisa duniani kwa sasa, anayekipiga katika timu ambayo inafundishwa na kocha anayeongoza kwa kutengeneza mabeki wakatili, Jose Mourinho, Ndugu Erick Bailey kakiri hilo.
Hiyo migarasa yako haina kitu..Simba litimu libovuuuuu limejaa migarasa tu pumbavu na jumamosi Ndanda wanawanyuka
 
Hiyo migarasa yako haina kitu..Simba litimu libovuuuuu limejaa migarasa tu pumbavu na jumamosi Ndanda wanawanyuka
Kusubiria eti Ndanda amfunge simba nikujitafutia kuumia pasipo na sababu yoyote ya msingi, hivi kweli ndanda amfunge simba?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…