DOKEZO Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu tumepokea taarifa tutaiwasilisha sehemu husika inaishia hapo

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Awesu hana taarifabjuu ya hili kabisa.

Kwanini wasivute maji kutokea mto Rufiji kusaidia kusambaza maji jijini Dar.?
 
Kwa nini usiyanunue hayo matanki ukayasambaza kwa kuyagawa kwetu maana unaongea kama umekatika kichwa, hayo matanki yanagawiwa bure? Kila mtu ana uwezo wa kuyanunua? Acha majibu ya usingizini wakati uko macho
Unaonekana unapenda sana vitu vya bure.

Huo msikiti inabidi ufungwe tu , watu wanaokuja kuswali hapo idadi inaweza kuwa ni zaidi ya 70 - 100 .

Yani watu wote hao msindwe uchimba kisima ?? Kama siyo uvivu wa kufikiria ni nini? 🤔 🤔
 
Jiongeze uje utuchimbie, wewe una hela ya kufanya njoo ufanye kwetu
Nendeni mkaswali msikiti uliopo karibu kama mmeshindwa kutafuta source ya maji... (association yeyote ile lazima iwe na emergency ya vitu mhimu).

. Misikiti ya huku mikoani wamechimba visima vya maji, Safi kabisa.. ✍️ ✍️.
 
Mwanza tunaishi na ziwa.... na ziwa sio maji chumvi kama bahari, lakini maji ni luxury.
Bila tank hutoboi, masika kama hivi unavuna tu
 
Amin Amin Amin nawaambia

Wakazi wa Dar Es Salaam tujiandae kwa mateso ya kutokupatikana kwa maji ya Dawasco siku si nyingi. Kwa namna jua linavyochapa, mtakuja kuniambia hapa
 
Unaonekana unapenda sana vitu vya bure.

Huo msikiti inabidi ufungwe tu , watu wanaokuja kuswali hapo idadi inaweza kuwa ni zaidi ya 70 - 100 .

Yani watu wote hao msindwe uchimba kisima ?? Kama siyo uvivu wa kufikiria ni nini? 🤔 🤔
Tatizo huna akili
 
Nendeni mkaswali msikiti uliopo karibu kama mmeshindwa kutafuta source ya maji... (association yeyote ile lazima iwe na emergency ya vitu mhimu).

. Misikiti ya huku mikoani wamechimba visima vya maji, Safi kabisa.. ✍️ ✍️.
Akili ndio kitu unakosa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…