wakuu msaada juu ya feedback ya shule tajwa hapo juu
wakuu msaada juu ya feedback ya shule tajwa hapo juu
umeme hakuna wewe
weee ilo bonge la place kwa kusoma ila ni chaka vibaya mno na ni boys tupu next week naenda huko kuchukua result slip yangu aisee