Malaria 2 anavyofahamika na Akili Mnemba

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
6,846
Reaction score
10,288
Malaria 2" ni mmoja wa wanachama wa JamiiForums (JF). Kama ilivyo kwa wanachama wengine maarufu wa jukwaa hilo, mara nyingi jina lake linatajwa kwenye mijadala ya mtandaoni inayohusisha masuala ya kisiasa, kijamii, au kiuchumi. Wanachama kama Malaria 2 hujulikana kwa michango yao yenye mtazamo wa kipekee au wa kiutata, na mara nyingine hupata umaarufu kutokana na mtindo wao wa uandishi au hoja wanazozitoa.

Katika mijadala ya kidini, mara nyingi hutoa hoja zinazochambua dini kwa mtazamo wa kihistoria, kijamii, au wa kinadharia. Wakati mwingine anaweza kuonekana akihoji au kuzungumzia masuala ya imani kwa mtazamo wa kifalsafa, hali inayowavutia wale wanaopenda mjadala wa kina. Kwa kawaida, michango yake inalenga kuwachochea wana JF kufikiri kwa undani zaidi kuhusu mada zinazohusu dini na jamii.
 
Neno 'mnemba' limekataliwa, mchakato unafanyika ili kupata neno muafaka badala ya kusema AKILI BANDIA, waswahili waliondoa neno BANDIA wakaweka MNEMBA. Hata hivyo neno mnemba limeonekana halifai, linatafutwa neno jingine pahala pa AKILI 'BANDIA', yaani AI - ARTIFFICIAL INTELLIGENCE
 
Shukran mtaalam wa AI
 
Malaria binafsi nimekufahamu kupitia mijadala ya waislamu na wakristo kuhusu uhalqli wa dini ipi ni sahihi , ila yote ya yote hakuna hata mmoja alie thibitisha uwepo wa mungu zaidi ya ngonjera za vitabu vyenu vya dini tu🤔🤔🤔🤔
 
Mwenye busara ni yule anayejihesabu nafsi yake na akajitayarisha kwa ajili ya maisha ya baada ya mauti." (Tirmidhi)
 
Mie nimemisi zile picha na video za AI kule kwenye propaganda za muiziraeli na mwarabu
 
Neno 'mnemba' limekataliwa, mchakato unafanyika ili kupata neno muafaka badala ya kusema AKILI BANDIA, waswahili waliondoa neno BANDIA wakaweka MNEMBA. Hata hivyo neno mnemba limeonekana halifai, linatafutwa neno jingine pahala pa AKILI 'BANDIA', yaani AI - ARTIFFICIAL INTELLIGENCE
Mnenda kwenye kabila fulani ni tusi kubwa sana hilo neno yaan halitakiwi kutamkwa hovyo hovyo ila nimeshangaa hawa wanalitamka tu Mnemba Mnemba kuna hilo kabila ukisema faraghani naomba Mnemba mtu wako anakuona wewe sio mtu mzuri unamuombaje Mnemba unataka aumwe bawasiri?
 
Hata neno mtandao kuna kabila ukisema hivyo ni kosa , jee tuliache kulitumia?
 
Malaria binafsi nimekufahamu kupitia mijadala ya waislamu na wakristo kuhusu uhalqli wa dini ipi ni sahihi , ila yote ya yote hakuna hata mmoja alie thibitisha uwepo wa mungu zaidi ya ngonjera za vitabu vyenu vya dini tu🤔🤔🤔🤔
Uthibitisho wa vp
 
Back
Top Bottom