Hebu jaribu ni kile kipimo kikubwaWakuu habari jana nilipatwa na hali isiyo ya kawaida mwili wote ulikuwa unauma na hadi sasa unauma afu joto lilipanda mara dufu nikaenda hospital nikakutwa na malaria nimepewa dawa za mseto nilianza kunywa jana usiku nimekunywa leo tena asubuhi lakini naona hali ni ile ile nifanyaje?
Nafikiria kubadili dawa ushauri wenu tafadhali
Teh teh pagumu hapoHebu jaribu ni kile kipimo kikubwa
Pole sana ukiwa bado hujapona ugonjwa wako wa Malaria nitafute mimi nipate kukupa dawa upate kupona haraka iwezekanavyo.Wakuu habari jana nilipatwa na hali isiyo ya kawaida mwili wote ulikuwa unauma na hadi sasa unauma afu joto lilipanda mara dufu nikaenda hospital nikakutwa na malaria nimepewa dawa za mseto nilianza kunywa jana usiku nimekunywa leo tena asubuhi lakini naona hali ni ile ile nifanyaje?
Nafikiria kubadili dawa ushauri wenu tafadhali