Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Jana nilikuwa na ndugu kadhaa rose garden tunabishana kuhusu uwezo wa mtu mzima kupata malaria 500
katika mjadala alitokea kijana mmoja aliesema amefanikiwa kusoma muhimbili chuoni aka disco mwaka wa tatu...hayo yote ni maisha na sasa ni mkurugenzi wa kampuni fulani
sasa katika maongezi niliuliza hivi mtu mzima kinga zake zinakuwa kiasi gani mpaka malaria yote 500 mpaka 1000 izame kunako
anayway sipendi kuwa msemaji zaidi ningependa niombe wataalamu wa jf then nilinganishe na majibu ya huyu kijana je ni sahihi??? Kwa wale mliofanikiwa kumaliza miaka 5 embu tusaidien kwa hili
inapofika mtu mzima ana malaria 550.555 yaani kingazake zinakuwa zimekwenda wapi ama ile malaria inakuwa ni angalizo tu la kuubeba ugonjwa mwingine??
Dk naomben msaada..hili litasaidia si tu kwangu hata kwako na ukoo wenu iwapo kuna kadalili kingine inasaidia pale mgonjwa anapokutwa na malaria kiasi hiko basi tujue tupime na nini ya ziada bila kupotesa muda