Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
MS njoo unidekee kwangu...sijawahi kuwa na tatizo na wewe kabisa....mruhusuni MS aje kwa mamaaa JS hapa kudeka mpaka atachoka mwenyewe

Hi JS, wewe pia huna tatizo na Malaria Sugu?
utatuharibia mtoto
Aiiiiii Buji, mwache bana mbona unataka kumbania mtoto MS??
Niaje NN, mimi sina tatizo naye kabisa....
atabemendeka, ndo maana tunamkinga na fataki
Malaria sugu wa ukweli sana. Kati ya wanaume wote humu jf yeye ndio ananikosha.
Anadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa.
Mara leo lnvisible kamuonea, mara kesho Rev. Masa kamuonea, mara Buji manyotanyota naye kamuonea.
Jamani MS, tunakupenda sana, na huwa tunasikitika unapogongwa na nyundo ya mods. Badilika kidogo tu nawe utaiona JF ni kama peponi.
habari ya Dodoma?
Kwani we Bujibuji huwa unamuonaea? Vipi bado uko usukumani? Pole once again
Wang'wise.. pole sana kwa mitihani uliokupataAnadeka sana, na kwa kuwa hapa jamvini hamna wa kumdekeza basi anajihisi anaonewa.