M Mkombozi JF-Expert Member Joined Feb 19, 2008 Posts 844 Reaction score 476 Aug 2, 2013 #1 Wakuu huwa nasumbuliwa na malaria kila mwezi.Naomba anayejua suluhisho la kudumu anijuze.Natumia Net ya mbu vizuri,dawa napiga kila siku ndani lakini bado malaria inanishambulia kila mwezi.
Wakuu huwa nasumbuliwa na malaria kila mwezi.Naomba anayejua suluhisho la kudumu anijuze.Natumia Net ya mbu vizuri,dawa napiga kila siku ndani lakini bado malaria inanishambulia kila mwezi.
K kokwemage Member Joined Nov 24, 2010 Posts 60 Reaction score 20 Aug 2, 2013 #2 ni vizuri utumie tiba mbadala, piga namba 0655290333