Malawi kuondoa hukumu ya kifo

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Mahakama kuu ya Malawi imeamua kuwa adhabu ya kifo ni kinyume cha katiba.

Mahakama imesema kuwa hukumu ya kifo ipo kinyume na viwango vya kimataifa vya haki za binadamu,

Hii ikimaanisha kuwa adhabu kubwa zaidi itakayotolewa nchini Malawi itakuwa hukumu ya kifungo cha maisha. Tume ya haki za binadamu imeelezea uamuzi huo kuwa hayo ni maendeleo.

Aidha ilibainika kuwa hakuna aliyenyongwa ncini humo tangu mwaka 1975. Malawi sasa imekuwa nchi ya 22 ukanda wa mataifa ya -Sahara kusitisha adhabu ya kifu.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…