Malawi sends Tanzanian envoy home; is this the end of the fairy tale for TZ in SADC

Hawana ubavu huo wa kumfukuza Balozi wetu wakati wanategemea chakula kutoka Tanzania,kwani hawajipendi?
 

Super! hebu soma kwa umakini article hapa chini inayosema "Nyerere's militancy benefited AFRICA" when you're done rudi jamvini tuelimishane maana nimekwisha shuhudia mara kadhaa ukiandika post zinazo husu TANZANIA ambazo huwa hazina ukweli wowote. Malawi ilikwisha kanusha kitambo kwamba haija mfukuza Barozi wetu na wala hawana mpango wowote wa kufanya ujinga kama huo, actually mwandishi wa habari aliye eneza habari hizo potofu amekwisha funguliwa mashtaka MALAWI.

Sijuhi unapo sema eti tunadhulumu MALAWI natural resources zake huna maana gani? Si hilo tu hata ili la kusema Jumuiya ya KIMATAIFA inachukulia TANZANIA kama ni nchi korofi vile!!! Ebu tufafanulie tangu lini Tanzania ikawa at loggerheads na International Community per se au unafikili Watanzania tumesahau jinsi Kenya ilivyo wahi kushirikiana na Malawi katika harakati za kutaka kuchelewesha/sabotage uhuru wa Wafrica wenzao kusini mwa Africa.

Watanzania tunajua vile vile kwamba umbilical cord kati ya Malawi na Kenya bado hiko maintained mpaka leo ndio maana mnajaribu kutetea Malawi huku mkisingizia International Community. Nakushauri ujaribu kuangalia ramani inayo onyesha mipaka ndani ya ziwa Nyasa kati ya Mozambique na Malawi utakuta mpaka huko katikati ya ziwa ni logic gani iliyotumika kuweka mipaka kwenye ziwa hilo hilo kati ya Tanzania na Malawi - mtu gani mwenye akili timamu anaye weza kukubali double standard kwenye ziwa moja, deep down Wamalawi na wapambe wao wanajuwa kuwa mpaka unapaswa kuwa katikati ya ziwa kama ilivyo Msumbiji.

Mwisho nimalizie kwa kukushauri usome article below, specifically yenye RED ndio utaelewa/gundua ni kwa nini TANZANIA itabaki kwenye SADC block come rain or SHINE, oh yes tuna kila sababu ya kushirikiana na nchi tulizo wahi kuzipatia mafunzo ya kijeshi ya hali ya juu na kushirikiana nao bega kwa bega katika operation zao (overt na covert) hawa ni marafiki zetu wa DAMU. Inapokuja suala la EAC tutaendana nao hivyo hivyo mradi kunakucha si unajuwa msemo wa kiswahili usemao "Uwezi kuchagua upakane na NANI"


 
Mambo ya Malawi na Tanzania yanatafuta nini kwenye Kenyan politics??
Halafu ni sticky??

dada usiogope kenya iko tayari kuisaidia tanzania katika hii miangaiko msiogope. kenya haitakubali kamwe tanzania kuendelea kutumiwa kama kifagio au watumwa wa sadc.kenya itaiokoa tanzania
 

When it comes to talking on the elemi triangle, I am always sad that Kenya would let go of the triangle. When you look at the triangle on the map there is a red line that divides the whole triangle to sudan. Mzee Jomo would not allow such to happen. wakati mwingine dictatorial regimes are good. Look at Nyerere's dictatorship and bravery where he had a presence upto Zanzibar by installing Abed Karume not forgetting the Kagera war and other machinations in DRC Angola and Mozambique. He gave TZ a sense of purpose. What is the status of the elemi triangle mkenya1987 have we lost it?
 
Last edited by a moderator:
Kenya inatetea malawi !what bullshit is this most kenyans or even the kenyan government don't even know about this tiff between malawi and Tz so don't drag us into your issues OK if you have a bone to pick with them don't mention us and try to pick a fight. has the kenyan government even stated its position. For those of you just wanting to spew your hate endeleani and next time check your facts JF is a place for great thinkers not guessers na siku gani tumetetea malawi i doubt that the words malawi have ever come for the presidents mouth or even the ministry of foreign affairs. Even in the local daily this issue would merely pass as a small column at the back of the newspaper. this piece of advice is for bukyanagandi
 
Kabaridi,

..but our brothers in Malawi claim that the Heligoland treaty gave them the rights to the entire lake Nyasa/Malawi.

..on the other hand, Tanzania tuna argue kwamba tuna right to the half of the lake where we share the border with Malawi.

..IMHO, this issue should to be referred to International Court of Justice, the same way Nigeria and Cameroun did in resolving their dispute on the oil rich Bakasi peninsular.
 

Watanzania wakipitia hii post yako lazima watakuita Mmalawi. Kuna mdau keshaniambia ananimonitor very closely kwa kuandika opinion ya dizaini hii.
 
Kuna watu hawajui Tanzania has more support in SADC than Malawi as a founder state and good historical and current relations with the members there! Malawi has no good terms to any of African organisations be it SADC or AU! so u Kenyans stop drumming nonsense ati Tanzania is an outsider in SADC! Why then is Malawi refusing SADC mediation if it is an insider? Why is it feeling uncomfortable?
 
EMT,

..hao waliokutuhumu kwamba wewe ni Mmalawi ni wale wanashauri tutumie nguvu.

..sasa kama tunajiandaa kutumia nguvu we need to pump ourselves up kwamba lazima tushinde.

..kwa upande mwingine tukitumia approach[african/sadc mediation] anayopendekeza waziri Membe, bado kuna posibility ya kushinda au kushindwa.

..lakini kwa jinsi msimamo wa Malawi ulivyo sioni ni jinsi gani suala hili litatatuliwa nje ya ICJ.

..Nadhani Malawi hawaziamini nchi za Kiafrika au jumuiya za Afrika kama AU na SADC kutokana na imani yao kwamba Tanzania has a strong influence kwenye nchi au vyombo hivyo.
 
Last edited by a moderator:
Gangi Longa,

..my reading ni kwamba baadhi ya Wakenya hapa JF wanaichukia SADC kwa sababu they believe kuwa ndiyo inayotupa wa-Tanzania kiburi/guts/leverage ya kukataa masuala ya EAC.
 

Ni kweli. Sidhani kama Malawi watakubali mediator anayetoka kusini mwa Afrika. Vingenevyo, watakuja kusema alikuwa bias. Kwa kifupi we don't have what we can call a "political" enemy in Africa. Hata Wakenya wanajua hili.Ndiyo maana unaona hata hii thread inajadiliwa kwenye jukwaa la Kenyan politics. Tunapendwa mpaka kule Machakos. 🙂
 
Gangi Longa,

..my reading ni kwamba baadhi ya Wakenya hapa JF wanaichukia SADC kwasababu they believe kuwa ndiyo inayotupa wa-Tanzania kiburi/guts/leverage ya kukataa masuala ya EAC.

They are dreamers they should even be happy that we are bailing them out of their cereal deficit!
 

Mkuu ninakubali yote aliyosema Prof Mazrui kuhusu Nyerere. Ni kweli umbilical cord ya malawi na kenya bado iko intact kwasabau hata bendera zao unaona kuwa zimefanana. Tena ninaheshimu sana Nyerere aliyofanya kwa kuwapatia watanzania self-determination ya hali ya juu ikija kuhusika na masuala ya TZ.

Sikusema TZ na Internationtional community are at loggerheads kwasababu hakuna kipindi international community wamekuwa na interest sana na Afrika kuliko kipindi Nyerere alipokuwa uongozini. Yale Nyerere alifanya katika bara la Afrika kusini ni mengi kiasi ya kuvuta interest ya international community kujihusisha sana na Afrika. Lakini wakati huo umepita na swali leo itakuwa, kati ya malawi na Tanzania who is more of a darling to the west now? Nani atazungumza apewe sikio?

"Uwezi kuchagua upakane na NANI"

Hapa ni kweli ulichosema it was never a mistake TZ na kenya kupakana. Kwa hivyo tuwache kunyoosheana vidole.:biggrin::tongue::biggrin:
 
Thread false, fact check your information before posting.
 

Oh that! Please revisit my post, I didn't say most, I said some. Nakushauri usome tena article inayohusu "Nyerere's militancy benefited Africa" unaweza kunihakikishia kwamba perception yenu ya YESTERYEARS kuhusu Malawi imebadilika?? Kama mliwahi kushirikiana nao kijeshi kuwasaidia RENAMO na Savimbi kuleta vurugu kusini mwa Africa - Itakuwa mambo ya mipaka kati ya Tanzania na Malawi bwana! Who're U kidding? Kumbuka kuna mambo mengine mengi yanafanyika in CAMERA mkuu. The paper seems to reduce me here, but all the same thanks 4 your piece of advice.
 
Kabaridi,

..IMHO, this issue should to be referred to International Court of Justice, the same way Nigeria and Cameroun did in resolving their dispute on the oil rich Bakasi peninsular.

I am afraid for you jokakuu and crew if you go the ICJ route because there is a high possibilty that you might loose and the only way is through round table agreements. The europeans now ironically do not honour their 19th century imperial treaties
 
dada usiogope kenya iko tayari kuisaidia tanzania katika hii miangaiko msiogope. kenya haitakubali kamwe tanzania kuendelea kutumiwa kama kifagio au watumwa wa sadc.kenya itaiokoa tanzania

Teh teh teh........ huyu anaongea nini ati?

Kama mnataka kujipenyeza SADC ili tuwe meza moja na sisi (maana mnajua mapenzi yetu yalivyo kuelekea SADC ukilinganisha EAC) leteni maombi tutawafikiria...... lakini shida yenu kubwa ni kuwa historia inawahukumu...... mlikumbatia apartheid......

Na ndicho Malawi kinachowagharimu...... walikumbatia apartheid..... na ndiyo maana tukizuia bandari ya Dar hawana njia... najua wewe utasema si watatumia Beira.... Sasa kwa taarifa yako Msumbiji wanauchungu na Malawi kuliko sisi Tz..... maana iliwasaidia Renamo bila soni.... hivyo hawataki kabisa kuisikia Malawi..... walikuwa vibaraka wa Makaburu kama mlivyo(kuwa) ninyi Kenya....

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…