Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Game ya maana sana hii; tuwatoe malawi, tusogee viwango vya fifa..
 
Msuva na ngassa so wakabaji wazuri mkuu.
Hapa tunahitaji mtu WA kukaba na kushambulia.
Kwa sofa hizo Bocco kawazidi wore.

Wewe ndy hujui mpira kabisaa, bocco timu ikizidiwa hua hana Kitu, pia bocco tangu aanze kucheza unajua amewahi kuifanyia nn timu ya taifa?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…