Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Hongera stars hongera kwa watanzania wote huu ni ushindi muhimu sana kwetu. Kocha ajiangalie upya
 
Sasa tunaenda kukutana na Algeria kwa huu ujinga wa leo sijui itakuaje.?

Eeeh Mungu saidia Tanzania
 
Asante Yanga international kwa kututengenezea Great wall of Tanzania(cannavaro,Yondani n Haji)
 
Tunashangilia hapa ila SAD NEWS kuna mwenzetu wamemrush SANITAS Hospital dakika ya 91' Mins wakati tunakoswakoswa, alianza kwa kusema ganzi upande wa kushoto wa mbavu then akapata heart attack
 
Afadhari tumepita mi nyaa ilikuwa inagonga kyupi
 
Mkwasa aangalie jinsi gani anaeza kutufuta watz machozi kwa hizo mechi za mbeleni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…