Malawi Vs Tanzania Oktoba 11, 2015

Halafu hawa Wamalawi wametuweza kweli, kucheza mechi saa tisa kwa kwetu ina maana kule ni saa nane mchana so jua ni kali sana, wachezaji wetu wanaweza kuchoka mapema
 
Daa afadhali wamalawi wanakosa free-kick ya mita 23
 
Refa kaminya hii ilikuwa faulo ulimwengu kachezewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…