Malawi waandamana kumpinga Rais Chakwera

Serikali ya kulipa fadhila mara nyingi hutawaliwa na ufisadi,rushwa,ubadhilifu na maposho ya sio kuwa ya msingi.Mwisho wa siku kiongozi akikosea unamwonea aibu na kuanza kumbeba yy,kisa wewe alikubeba wakati wa uchaguzi kwa kifupi hamna uwajibikaji.

Ndio maana nikiziangalia nchi ambazo zimekuwa na mapinduzi ya kisiasa kama Zambia na Kenya hivi vitu vimetawala sioni mabadiliko chanya.

Ukabila,Undugu,Urafiki yaani kujuana bila kuangalia uwezo na ufanisi wa mtu husika unaimaliza Afrika.
 
Ccm kuendelea kuwepo madarakani hadi leo si kwa sababu watanzania ni wajinga au waoga.
 
Chama cha lazarus ndio chama cha ukombozo, kilitolewa na sasa kimerudi kwa mbwembwe.
Watu wanashabikia siasa pasipo kujua chochote wakishabikiacho.MCP ilivyo pata ushindi ccm wakanuna badala ya kushangilia ndugu zao kurudi madarakani. Na upinzani wakashangilia badala ya kusikitika wanamageuzi wenzao wamepoteza uongozi na hawaaminiki na wananchi.
 
Huyo jamaa kaingia na mihemuko.

Ndio hata hapa unafikiri kwanini system hiwezi kuwapa kina Mbowe?
Ya Zambia itakuwa cha mtoto

Chama cha Chakwera kilikuwa ndio chama tawala toka Uhuru hadi mfumo wa vyama vingi ulipoingia Malawi. Hao ni sisiemu ya Malawi.
 
mi nawambiaga watanzania wenzangu bora tubaki njia kuu tu
 
Haya ni matokeo ya kupiga kura kwa misingi ya ukabila na ukanda...waache Wamalawi waipatepate...
 
Jamaa hajatuliza akili.
Ukiwa kiongozi unakuwa na wapambe wengi kwa hiyo uwe makini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…