BARD AI
JF-Expert Member
- Jul 24, 2018
- 3,591
- 8,826
Uamuzi wa Serikali unafuatia kuendelea kusambaa kwa Ugonjwa huo hatari kwenye Wilaya 29 za Nchi hiyo na kuambukiza Watu 20,000 pamoja na kusababisha vifo takribani 700
Taarifa ya Serikali imeziomba Jamii, Kampuni na Mashiriki Binafsi kusaidia Vifaa Tiba, Uboreshaji Miundombinu ya Maji kwenye Shule, Fedha na Dawa ili kuweza kukabiliana na maambukizi yanayoenea kwa kasi
Katika kuchukua tahadhari, Serikali ya Tanzania imetuma Timu ya Madaktari, Wataalamu wa Magonjwa ya Mlipuko na Maafisa Afya ya Mazingira kwenye Mikoa ya Mpakani (Songwe, Mbeya na Ruvuma) kutoa mafunzo Afya ya jinsi ya kubaini wagonjwa kwa kutumia kipimo cha haraka.