Malaya

borninzen

Member
Joined
Jun 7, 2013
Posts
9
Reaction score
3
Ni umalaya na nani Malaya? Malaya ni msichana au mwanamke ambaye anafanya mapenzi na mtu asiyekua si mumemwe wa hahalali. kuna namna tatau za umalaya nazo 1. Malaya wa kwanza ni yule ambaye hutafuta pesa kwa kila njia ya kwa kuuza mwili wake, ikiwa kwenye geto, baa au njiani ( bara barani). 2. Aina ya Malaya mwengine yule anayekaa au naishi na mtu si mumewe wanaishi kama mtu na mume. ama wa 3. Malaya huyu hana mtu maalamu wala hana haja ya pesa yeye akijiwa na hamu ya kutaka kufanya mapenzi atakayempata yeyote atakaye mridhisha siku ile ni sawa kwake.:heh:
 
Hata wanaume baadhi yao ni Malaya.
Manake umetuongelea sisi wanawake tu.
 
Mwanamme hendi geto, wala hasimami njiani kuuza mwili wake.
 
Hata wanaume baadhi yao ni Malaya.
Manake umetuongelea sisi wanawake tu.

Tena wapo wanaokaa bar na barabarani kusubiria watongozwe/watongoze wanawake! na wenyewe ndio wamezdi kwa umalaya!
 
kwani wanaume siyo malaya?

By definition, malaya ni yule anaejiuza (ku-offer ndude yake ya sex kwa anaetaka kuilipia). Unfortunately, sijawahi kusikia mwanamke anakwenda kutafuta ndude ya wanaume ili atimize haja zake kwa kuinunua.

Na usiniambie habari ya 'sugar mummy' maana hao huwatafuta dogodogo wa kiume (na si kwamba hizo dogodogo huwa zinajianika ili wanawake wahitaji wafike bei).
 
You are not serious.
 
Hata wanaume baadhi yao ni Malaya.
Manake umetuongelea sisi wanawake tu.

Madame B (with due respect - you never know maybe we may meet halafu nikasema la kusema), ila kusema ukweli hakuna hakuna malaya mwanaume. By definition, malaya ni yule anae-offer ndude yake ya sex ILI ALIPWE (na siku zote wanaume walazimishwa KUNUNUA). Ila nakubali kuwa kuna wanaume 'dunga dunga', lakini huo udunga dunga wenyewe unakuwa encouraged na wanawake wanaotaka kudungwa - ama ili walipwe pesa au wastareheshwe.
 

You are not serious Mtoboasiri.......embu toboa siri ya mariooo kisha tukuitikie.....
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…