GoldDhahabu
JF-Expert Member
- Apr 29, 2023
- 7,189
- 10,375
Nipo Kampala, lakini huenda nikahitaji kufika Rwanda na Burundi.
Naomba taarifa za hivi karibuni juu ya:
1. Hali ya hizo nchi kiusalama (Rwanda na Burundi)
2. Gesti za bei nafuu lakini salama katika miji ya Kigali nchini Rwanda, Bunjumbura nchini Burundi, na Gitega nchini Burundi.
Naamini huku kuna watu wanaoishi huko au wenye taarifa za hivi karibuni.
Asanteni🙏🙏🙏