Malcolm X speech democracy is hypocrisy/Demokrasia ni unafiki

Mto Songwe

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2023
Posts
6,683
Reaction score
14,060
Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki".

Ni tofauti kabisa na inavyoandikwa na kuhubiriwa duniani.

Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia.

Tumsikilize kwa makini hapa

Kwenye hiyo speech Malcolm X anasema "America is just as much a colonial power as England ever was. America is just as much a colonial power as France ever was. In fact, America is more so a colonial power than they, because she is a hypocritical colonial power behind it".
 
Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki".

Ni tofauti kabisa na inavyo andikwa na kuhubiriwa duniani.

Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia.

Tumsikilize kwa makini hapa
View attachment 2815237

Nchi za demokrasia ndio nchi zenye nguvu za kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Shida demokrasia inataka viongozi walio tayari kweli kutumikia wananchi na kuzingiatia mihimili imara na inayojitegema ya nchi ambayo ni bunge,mahakama na serikali.

Malcolm X alichanganywa na mafundisho ya NOI,hadi kupoteza uwezo wake wa akili na kuanza chuki na kupambana na whites.
 
Wewe na Malcolm nani anaweza mfundisha mwenzake democracy/hypocrisy/unafiki ?

Malcolm anasema "And when I speak, I don’t speak as a Democrat or a Republican, nor an American. I speak as a victim of America’s so-called democracy. You and I have never seen democracy, all we’ve seen is hypocrisy".
 
Malcom X anazidi kutiririka na kusema "And when I speak, I don’t speak as a Democrat or a Republican, nor an American. I speak as a victim of America’s so-called democracy. You and I have never seen democracy, all we’ve seen is hypocrisy".
 
Malcolm anazidi kutiririka zaidi "
When we open our eyes today and look around America, we see America not through the eyes of someone who has enjoyed the fruits of Americanism. We see America through the eyes of someone who has been the victim of Americanism. We don’t see any American dream. We’ve experienced only the American nightmare. We haven’t benefited from America’s democracy. We’ve only suffered from America’s hypocrisy. And the generation that’s coming up now can see it. And are not afraid to say it".
 
Nchi za demokrasia ndio nchi zenye nguvu za kisiasa,kiuchumi na kijamii.

Shida demokrasia inataka viongozi walio tayari kweli kutumikia wananchi na kuzingiatia mihimili imara na inayojitegema ya nchi ambayo ni bunge,mahakama na serikali.

Malcolm X alichanganywa na mafundisho ya NOI,hadi kupoteza uwezo wake wa akili na kuanza chuki na kupambana na whites.
Duh!
 
Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki".

Ni tofauti kabisa na inavyoandikwa na kuhubiriwa duniani.

Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia.

Tumsikilize kwa makini hapa

View attachment 2815237
SAHIHISHO: Alichosema hasa kwa msisitizo ni: demokrasia nchini Marekani ni unafiki.

democracy in America is hypocrisy…

Pia amekosoa mfumo wa haki unaokandamiza watu weusi: this is American justice!

Context; maudhui ya ujumbe wake ni muhimu sana kuuelewa. Yeye kaongelea jinsi demokrasia na mfumo wa haki vinavyotumiwa vibaya kukandamiza Wamarekani weusi.

Ni rahisi sana kwa watu wanaotaka tawala za kidikteta na kiimla (totalitarian regimes) kukumbatia hotuba hii ya bwana el-Hajj Malik el-Shabazz kama uthibitisho kuwa demokrasia ni janga la unafiki. Yeye alikuwa akimwaga hasira zake kwa unafiki wa watawala weupe wa Marekani katika matumizi ya democracy na justice system - kwa watu weusi, period. Si unafiki wa dhana nzima ya demokrasia.

For sure, the sacred merits of democracy still stand solidly as erected by the Ancient Greek sages.
 
Hicho alichosema Malcolm kuhusu demokrasia/unafiki sio marekani pekee mbali kote especially hao western wanaojiita democracy preacher
 
Sawa. Lakini unafiki wa nchi (USA, Ulaya) haumaanishi kwamba demokrasia ni unafiki. Kichwa cha mada kinapotosha alichosema Malcom X.
 
Back
Top Bottom