Mto Songwe
JF-Expert Member
- Jul 17, 2023
- 6,683
- 14,060
Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki".
Ni tofauti kabisa na inavyo andikwa na kuhubiriwa duniani.
Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia.
Tumsikilize kwa makini hapa
View attachment 2815237
Wewe na Malcolm nani anaweza mfundisha mwenzake democracy/hypocrisy/unafiki ?Nchi za demokrasia ndio nchi zenye nguvu za kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Shida demokrasia inataka viongozi walio tayari kweli kutumikia wananchi na kuzingiatia mihimili imara na inayojitegema ya nchi ambayo ni bunge,mahakama na serikali.
Malcolm X alichanganywa na mafundisho ya NOI,hadi kupoteza uwezo wake wa akili na kuanza chuki na kupambana na whites.
Duh!Nchi za demokrasia ndio nchi zenye nguvu za kisiasa,kiuchumi na kijamii.
Shida demokrasia inataka viongozi walio tayari kweli kutumikia wananchi na kuzingiatia mihimili imara na inayojitegema ya nchi ambayo ni bunge,mahakama na serikali.
Malcolm X alichanganywa na mafundisho ya NOI,hadi kupoteza uwezo wake wa akili na kuanza chuki na kupambana na whites.
SAHIHISHO: Alichosema hasa kwa msisitizo ni: demokrasia nchini Marekani ni unafiki.Malcolm X anasema kuwa demokrasia ni "unafiki".
Ni tofauti kabisa na inavyoandikwa na kuhubiriwa duniani.
Kwa kiasi kikubwa sasa dunia inashuhudia huu unafiki uitwao demokrasia.
Tumsikilize kwa makini hapa
View attachment 2815237
Hicho alichosema Malcolm kuhusu demokrasia/unafiki sio marekani pekee mbali kote especially hao western wanaojiita democracy preacherSAHIHISHO: Alichosema hasa kwa msisitizo ni: demokrasia nchini Marekani ni unafiki.
… democracy in America is hypocrisy…
Pia amekosoa mfumo wa haki unaokandamiza watu weusi: this is American justice!
Context; maudhui ya ujumbe wake ni muhimu sana kuuelewa. Yeye kaongelea jinsi demokrasia na mfumo wa haki vinavyotumiwa vibaya kukandamiza Wamarekani weusi.
Ni rahisi sana kwa watu wanaotaka tawala za kidikteta na kiimla (totalitarian regimes) kukumbatia hotuba hii ya bwana el-Hajj Malik el-Shabazz kama uthibitisho kuwa demokrasia ni janga la unafiki. Yeye alikuwa akimwaga hasira zake kwa unafiki wa watawala weupe wa Marekani katika matumizi ya democracy na justice system - kwa watu weusi, period. Si unafiki wa dhana nzima ya demokrasia.
For sure, the sacred merits of democracy still stand solidly as erected by the Ancient Greek sages.
Sawa. Lakini unafiki wa nchi (USA, Ulaya) haumaanishi kwamba demokrasia ni unafiki. Kichwa cha mada kinapotosha alichosema Malcom X.Hicho alichosema Malcolm kuhusu demokrasia/unafiki sio marekani pekee mbali kote especially hao western wanaojiita democracy preacher