don wiliama
Member
- Dec 13, 2015
- 29
- 17
X lina maana gani kwenye jina la huyo mwanaharakati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Very clever...na wale wamejipa majina ya kiswahili kama akina Karenga,Cheo,Mfalme Kabisa,Zuri Jones,etc
Hawa jamaa wananifurahishaga,wanakumbuka sana kwao
Hewa mmoja kama Marion "Suge" Knight anasema hataki waitwe African Americans kwani anaamini hawajatoka Africa neccesarily,duh..huyu jamaa kilaza sana
Hata mimi umenifungua macho nilikuwa cjui![]()
Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu
Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X
Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi
Oya nafikiri umenielewa,Btw karibu sana mkuu!
JI ndiyo jukwaa pendwa hapa JF.
Mimi kanifungua puaHata mimi umenifungua macho nilikuwa cjui
Umemjibu vizuri sana, kuna Mwl wangu flani wa History Alijibu Hivi Hivi nikiwA secondary!![]()
Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu
Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X
Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi
Oya nafikiri umenielewa,Btw karibu sana mkuu!
JI ndiyo jukwaa pendwa hapa JF.
![]()

Mimi kanisisimua mwili mpaka nywele zimesimama😀😀Mimi kanifungua pua
Hata mi nimeelewa vizuri sana![]()
Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu
Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X
Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi
Oya nafikiri umenielewa,Btw karibu sana mkuu!
JI ndiyo jukwaa pendwa hapa JF.
Safi sana, umefafanua vizuri mno![]()
Jina halisi la Malcolm X ni Malcolm little
Malcolm ni Black american,wakati ubaguzi wa rangi ulivyokuwa umeshamiri kule Marekani
wazungu[slave's masters wa wakati ule]walikuwa na kawaida ya kuwapa majina ya kejeli na dharau watoto wa Ki-negro,mathalani
Little ina maana ya kitu kidogo au dhaifu
Baada ya kuona hivyo,Malcolm akaamua kuondoa Jina la 'little' na kuweka X
Nini maana ya herufi X?
X kwa kawaida hutumika kuwakilisha kitu kisichojulikana au usichokijua
Malcolm alichagua herufi X kuwakilisha Jina la Babu au mababu zake kutoka Afrika,ambayo yeye alikuwa hayajui.
Pia X inatumika kuonyesha asili ya mtu mweusi ambayo imepotezwa na utandawazi
Oya nafikiri umenielewa,Btw karibu sana mkuu!
JI ndiyo jukwaa pendwa hapa JF.
Very clever...na wale wamejipa majina ya kiswahili kama akina Karenga,Cheo,Mfalme Kabisa,Zuri Jones,etc
Hawa jamaa wananifurahishaga,wanakumbuka sana kwao
Hewa mmoja kama Marion "Suge" Knight anasema hataki waitwe African Americans kwani anaamini hawajatoka Africa neccesarily,duh..huyu jamaa kilaza sana
=Ndio= wananifurahisha
Wakati wewe ndiyo kwanza umejipa id ya majina hayo wanayoyakataa hao wanaokufurahisha. Unanshangaza!
= Nina uhakikaNnauhakika ulienda shule ya kufundisha ujinga.
Kha!!don wiliama ndiye einstein newton, ameuliza swali na kujijibu kwa i'd nyingine ili aonekane anajua sana.
Linawezekana hilidon wiliama ndiye einstein newton, ameuliza swali na kujijibu kwa i'd nyingine ili aonekane anajua sana.