Malcom X: Ni kipi kirefu cha hiyo 'X'?

Kwa wale wanaopenda kujua zaid kuhuxu malcom X na ni wapenzi wa movie unaeza download au tafuta kwa njia nyingine yoyote movie iitwayo MALCOM X kama jina lake lilivyo imeigizwa na fundi Denzel Washington..ni movie based on tru story ya malcom X

Hi film in betrayal ya watu na jinsi uzinzi wa mentor wake ulivyomuathiri. Kikulacho ki nguoni mwako. Aliowaamini walimsaliti.
 


Kiongozi kuna factors nyingi ambazo zinatufanya tuwe tofauti ila sio kama wamechanganya damu ni kuwa huko usa bana kila kitu ni standard kwanza hewa yenyewe ni safi, hakuna uchafuzi wa hali ya hewa , mafuta na vipodozi vyote ni standard ya ukweli

kuanzia chakula hadi mafuta

njoo kwetu huku TBS wanatuangusha kabisa

tukianza na mafuta na vipodozi yamejaa ma MERCURY kibao

magari tunaendesha ni zaidi ya km 100,000 yaani mwenye km 50,000 ni gari jipya hilo

hatuli vizuri zaidi ya ugali samaki vibua waliovuliwa na baruti tukisema tule mchicha eti uongeze damu ni mchicha uliochumwa chooni

haya useme ule matunda matunda yamekaa buguruni chini pale kila SPECIE ya nzi katua pale

useme unywe pombe upunguze mawazo unakunywa viroba

wengine wana foji viroba vya manzese vile wamechanganya ma kemikali tayari kiroba

sabuni tunatumia sabuni za mche aka GWANJI
Nenda tandale, buguruni , mwananyamala uone mji unavyonuka kwa takataka

sasa hapo utakuwa kama michele obama lini rafiki yangu

angalia picha mbili za rihana alivyokuwa kwao barbados huko na sasa hivi yuko usa uone kazi
 

Kwa hiyo unabisha kuwa Wamarekani weusi wengi hawajachanganya damu?

Ndiyo au hapana?
 
Kwa hiyo unabisha kuwa Wamarekani weusi wengi hawajachanganya damu?

Ndiyo au hapana?

kwa case ya whitney houston uliyemtolea mfano nasema HAPANA hajachanganya damu kwani baba yake John Russel Jr na cissy Houston walikuwa ni weusi

HOWEVER

kuna baadhi ya wamarekani weusi YES wamechanganya damu na baadhi yao hawajachanganya
 
kwa case ya whitney houston uliyemtolea mfano nasema HAPANA hajachanganya damu kwani baba yake John Russel Jr na cissy Houston walikuwa ni weusi

HOWEVER

kuna baadhi ya wamarekani weusi YES wamechanganya damu na baadhi yao hawajachanganya

Teh teh teh...sasa nimeelewa kwa nini unabisha.

Unabisha kwa sababu ya ujinga [kutokujua tu].

Kuchanganya damu si lazima iwe kwa wazazi wanaomzaa mtoto tu.

Kama babu na bibi mmoja wao alikuwa mzungu au mhindi mwekundu, tayari ushachanganya damu hapo.

Na kwa Marekani, weusi wengi sana wamechanganya damu na Wahindi wekundu pamoja na Wazungu.

Enzi za utumwa, Wazungu wengi hususan wale waliokuwa wanamiliki watumwa, walikuwa wanalala na watumwa wa kike na mara nyingi walikuwa wakiwazalisha.

Kuhusu Cissy Houston, msikilize mwenyewe hapo kwenye hiyo clip ya YouTube. Huwa sibahatishi mambo. Na ninachokiongelea hapa nakijua.

I live in a slave state, by the way. Where there is a lot of African Americans. So I know what I'm talking about here.

Watch for yourself....kuanzia dakika 1:;02


Ukishamaliza, naomba uniambie Cissy kasemaje kuhusu ancestry yake.

Tukimaliza kwa Cissy, tutaenda kwa mdingi wake na Whitney.
 



KIONGOZI HII LIGI NIME TAP OUT
 
kiongozi nataka unitumie hiyo clip hapo... plzz nijulishe inbox ukiwa tayari
 
familia ya malcom x inamtuhumu Louis Farrakhan kuhusika na kifo cha malcom x, wakati wa kifo chake malcom alijashitoa national islam( kwa kifupi national islam na malcom x walikuwa hawaelewani)
 
Jina la kiislam la malcom ni el Hajj Malik el shabazz
 
Kwa sababu feature ya uafrika ndio dominant feature kuliko hizo za uhindi n.k
 
hawa si ndio wana inspire watu kama akina kahtaan ??
 
familia ya malcom x inamtuhumu Louis Farrakhan kuhusika na kifo cha malcom x, wakati wa kifo chake malcom alijashitoa national islam( kwa kifupi national islam na malcom x walikuwa hawaelewani)
Ni kwel atuhumiwa lkn hakuna ushahidi km alihusika kwel.
Louis alijiunga na NOI wkt malcom bado hajitoa na malcom alipojitoa yy ndo akaja kuwa minister wa NOI. Na ndio maana wanahusishwa na kifo cha malcom maan wengne wanamtuhum yy alichangia malcom kujtoa NIO. Japo yy anakataa kwamba hausiki na chochote kuhusiana na kifo cha malcom.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…