Malcom-x.

Malcom-x.

ADAM KATOTO

New Member
Joined
Jan 22, 2014
Posts
3
Reaction score
1
mh! tazama historia ya waafrika 2metoka wapi? na thamani yetu ni nini ikiwa 2! ukipigania haki yako au ya watu basi cha mbembe utakiona basi pitia kusoma kitabu cha j'na hilo hapo juu.
 
ukishasoma kitabu angalia na movie yake.
Black history is so touching. Sasa hivi kuna movie inaitwa 12 years a slave, nzuri sana.
Niliangalia amistad 1998 nadhani, i cried throughout. I wish tungetengeneza movie za kina mkwawa na nyerere na karume.
mh! tazama historia ya waafrika 2metoka wapi? na thamani yetu ni nini ikiwa 2! ukipigania haki yako au ya watu basi cha mbembe utakiona basi pitia kusoma kitabu cha j'na hilo hapo juu.
 
Back
Top Bottom