minda
JF-Expert Member
- Oct 2, 2009
- 1,068
- 67
katika hali inayoonesha kuwepo kwa machungu ya kushindwa katika kura za maoni ndani ya chama chetu, malecela anadaiwa kung'oa mashine aliyokifadhili kijiji cha mtera kwa kisingizio cha yeye kutokuthaminiwa na wana kijiji hao.
habari nilizopata kutoka kwa kigogo mmoja wa ccm mkoani ni kwamba chama mkoani kimeamua kufuatilia suala hilo na kumsihi mzee malecela aachane kuendeleza makundi ndani ya chama na suala hilo kuonekana kama kadhia kwa chama.
mkuu mwenye taarifa zozote zaidi atutaarifu kwani mambo hayo ya 'upatanishi' yamekuwa yakifanyika kwa usiri na uangalifu mkubwa.
nawasilisha!!