Mmh! Mbona nimeona TBC wakionyesha Mzee Malecela yupo na alikuwa akisalimia na Spika Sitta.
Kumuona kwenye TV au kuwepo Dodoma ni tofauti na kuhudhuria vikao,Mmh! Mbona nimeona TBC wakionyesha Mzee Malecela yupo na alikuwa akisalimia na Spika Sitta.
Mmh! Mbona nimeona TBC wakionyesha Mzee Malecela yupo na alikuwa akisalimia na Spika Sitta.
Nimemuona kwa macho yangu anasalimiana na spika sitta! mh! Hata kama sijamuona lowassa sipaswi kukuamini kwa hili umeonesha kutokuwa mwaminifu!
Tatizo unasoma heading tu husomi maelezoDu; Mkuu, Kikao kimefanyika na Mzee BM alikuwepo na JK aliki-Chair. Huenda kiliahirishwa asubuhi lakini Mchana-Jioni kimefanyika. Kulikuwa na Makabrasha wanayogawiwa makubwa kuliko kawaida.
Katibu mkuu wa CCM, Yusuf Makamba aliwaambia wajumbe wa kamati kuu jana akisema: "... kikao chetu cha leo cha CC kimepata udhuru kidogo, hivyo tumekiahirisha hadi kesho saa 3:00 asubuhi.
Tatizo unasoma heading tu husomi maelezo
Hali tete CCM, CC YAAHIRISHWALuteni hiyo link ni ya lini maana hata sijaelewa kuna comment za leo! Unamaanisha tayari mwananchi la kesho limeshakuwa released! Hili linaripoti habari ya juzi leo malechela ameonekana kikaoni jk akisema kikao kimefunguliwa sio makamba aliyezungumza leo! Malechela alikuwa kikaoni kuhusu lowasa sijui.
Hali tete CCM, CC YAAHIRISHWA
Gazeti la Mwananchi
Kumbe inawezekana.........sasa tatizo niniDu, kamanda mbona tunaanzisha ligi kwa vitu halisia. Hiyo news ni ya jana. Leo saa 3 ilikuwa CC ikutane ikahairishwa hadi baadaye mchana/jioni. Inawezekana wakati Mwananchi wanaenda mitamboni kikao cha CC kilikuwa hakijaanza. JK amefungua kikao rasmi na Mzee malecela ameonekana akisalimiana na mdau wake Sitta'
Hali tete CCM, CC YAAHIRISHWA
Gazeti la Mwananchi
Superman na TuntuMkuu hizo habari zipo out-dated, ni za mwananchi la leo ambazo kimsingi ni habari za jana. Mzee Malechela yupo kwenye kikao na ameonekana kwenye taarifa ya habari ya TBC saa 2 usiku huu kama wadau hapo juu walivyodokeza.
Superman na Tuntu
Mnanishangaza kweli ina maana kama habari ni ya jana isijadiliwe, sijasikia watu wakisema habari ya Lowassa ya mwaka 2008 alipojiuzuru tusiijadili kwa vile ni out-dated, kwa maana nyingine mnataka kutuambia tuwe tunajadili habari za kuanzia kesho yake na kuendelea tu zilizopita hapana.
Malecela na Lowassa hawakuhudhuria kikao iwe jana juzi au kesho hiyo ni issue nyingine, Mwananchi limeripoti habari ndiyo hiyo, mnaponibana mimi sijui niwaeleweje, waulizwe Mwananchi kwa nini wamechelewa kuiandika wanaandika habari out-dated? si mimi ndugu zangu.
umesomeka Luteni,anyebisha abishane na gazeti.
Waliona kwenye Tv inaweza kuwa picha za maktaba
Mkuu hizo habari zipo out-dated, ni za mwananchi la leo ambazo kimsingi ni habari za jana. Mzee Malechela yupo kwenye kikao na ameonekana kwenye taarifa ya habari ya TBC saa 2 usiku huu kama wadau hapo juu walivyodokeza.
mtu kakuletea habari bado unataka ujue gazeti la lini inamaana wewe umekaa mezani unaagiza kama chips niletee tomato souce na uma wake kabisa mbona umesahau vijiti ehe tujishughulishe.la lini? Nataka kujua linaripoti habari ya siku gani? Unajua timing yako mbaya ungepost hiyo link asubuhi ulikuwa mda huu ni michanganyo tu unafanya! Maana iliyoitwa kesho ndio leo na iliyo itwa leo ni jana!! Mkuu vipi?