myao wa tunduru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2010
- 614
- 235
Kitambo sana mitaa hii ya JF..mwanangu Gang chomba yupo bado?mtu mzima Kiranga?miaka kama kumi hivi aisee!dah
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kawa nipo jukwaa la michezo na jana ilikuwa birthday ya Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Ronaldinho GauchoKitambo sana mitaa hii ya JF..mwanangu Gang chomba yupo bado?mtu mzima Kiranga?miaka kama kumi hivi aisee!dah
Subiri nipite hapo nikapate upakoKama kawa nipo jukwaa la michezo na jana ilikuwa birthday ya Mtume na nabii wa mwisho wa Soka Ronaldinho Gaucho
Mbio tu za kilimwengu ila now nipo sanaMkuu ww pia ni legend? Ni nini kilikufanya ukapotea pande hizi za JF?