kama kawaida majembe wenzangu wa UDSM napenda kuchukua nafasi hii kumshukuru MUNGU kwa kutuwezesha kuendelea na kitabu chetu vizuri sana na kuingia academic yr 2013/2014,naomba niwakaribishe madogo wa first year kwa kuchaguliwa chuo bora barani Afrika na ulimwenguni pia,naombeni mkija mkaze kitabu vizuri,kama umekuja kurelax tu hapa hapatakufaa,mapindi yanaweza yakaanza oct 21