Mkalukungone Mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 3,141
- 7,205
Ni muda sasa wa ccm kufikia ukomo rasmi.Mwenyekiti wa chama cha EFF, Julius Malema, alisema kuwa vyama vingi vya kihistoria vya ukombozi barani Afrika vimekamilisha dhamira yao ya awali ya kupata uhuru wa kisiasa, na vinapaswa kukubali kwamba kila vuguvugu la kisiasa lina ukomo wake wa kiasili.
Alivitaja vyama kama vile CCM cha Tanzania, ZANU-PF cha Zimbabwe, SWAPO cha Namibia, FRELIMO cha Msumbiji, na ANC cha Afrika Kusini.
Malema alidai kuwa vyama vya aina hiyo vipo katika hatari kubwa zaidi ya kuanguka kutoka ndani vyenyewe kuliko kushindwa na wapinzani wao wa kisiasa. Aliongeza kuwa, kama ilivyo katika mazingira ya kiasili, kizazi kipya cha viongozi na vyama vipya vya kisiasa lazima hatimaye kiibuke ili kukabiliana na changamoto za baadaye.
View attachment 3639548
mwambie ok.🐒Mwenyekiti wa chama cha EFF, Julius Malema, alisema kuwa vyama vingi vya kihistoria vya ukombozi barani Afrika vimekamilisha dhamira yao ya awali ya kupata uhuru wa kisiasa, na vinapaswa kukubali kwamba kila vuguvugu la kisiasa lina ukomo wake wa kiasili.
Alivitaja vyama kama vile CCM cha Tanzania, ZANU-PF cha Zimbabwe, SWAPO cha Namibia, FRELIMO cha Msumbiji, na ANC cha Afrika Kusini.
Malema alidai kuwa vyama vya aina hiyo vipo katika hatari kubwa zaidi ya kuanguka kutoka ndani vyenyewe kuliko kushindwa na wapinzani wao wa kisiasa. Aliongeza kuwa, kama ilivyo katika mazingira ya kiasili, kizazi kipya cha viongozi na vyama vipya vya kisiasa lazima hatimaye kiibuke ili kukabiliana na changamoto za baadaye.
View attachment 3639548
sasa president Julius Selo Malema wa eff nae ni wa kumzingatia kweli bichwa khokhomo ukiangalia?
The United States has two main political groups: the Democratic Party and the Republican Party. The Democrats started around 1828 to support small government and states' rights. The Republicans started in 1854 to stop slavery from growing. Over time, their beliefs and goals switched completelykisiasa lina ukomo wake wa kiasili.
Kesi ya mchongokoMalema kesi yake kumiliki silaha bila kibali imeisha au inaendeleaje
Quality kwenye committee muhimu zinashuka madhara yake hata kiongozi wa chama hapati ushauri bora.Unakuta mtu wa kawaida yupo kwenye position nyeti atafanya mambo kawaida tu.Vyama vya ukombozi vimeanza kusahau watu ni mtaki bali sasa mtaji unageukia kwenye vyombo vya dola.Chama ni ushawishi kuliko kuburuzaMwenyekiti wa chama cha EFF, Julius Malema, alisema kuwa vyama vingi vya kihistoria vya ukombozi barani Afrika vimekamilisha dhamira yao ya awali ya kupata uhuru wa kisiasa, na vinapaswa kukubali kwamba kila vuguvugu la kisiasa lina ukomo wake wa kiasili.
Alivitaja vyama kama vile CCM cha Tanzania, ZANU-PF cha Zimbabwe, SWAPO cha Namibia, FRELIMO cha Msumbiji, na ANC cha Afrika Kusini.
Malema alidai kuwa vyama vya aina hiyo vipo katika hatari kubwa zaidi ya kuanguka kutoka ndani vyenyewe kuliko kushindwa na wapinzani wao wa kisiasa. Aliongeza kuwa, kama ilivyo katika mazingira ya kiasili, kizazi kipya cha viongozi na vyama vipya vya kisiasa lazima hatimaye kiibuke ili kukabiliana na changamoto za baadaye.
View attachment 3639548
Jizi na lipenda rushwa nalo linachangiamwambie ok.🐒
Na wote tuseme AMEENNi muda sasa wa ccm kufikia ukomo rasmi.