Malema: CCM, na vyama vya ukombozi vinakufa kifo cha asili

Yuko sahii

Yuko sahihi kabisa,ujumbe Kwa Luka's mwashambwa,tlaaahtlaah,Dr wa manesi,nk!
 
Na huo ndo ukweli mchungu kabisa ambao maccm na vibaraka/machawa wao hawataki kuukubali. Ila uzuri ni kuwa hakuna awezaye kushindana na Asili
 
labda vijana wenyewe watukua watukanaji na waporomosha matusi tupu kama wale wa chadema ambao hawana msaada wowote ule kwa chama 🐒
Huyu ni mwanaharakati,anayejielewa hata Madiba,alimkubali, Wewe ni nani umkatae?
 
Huyu ni mwanaharakati,anayejielewa hata Madiba,alimkubali, Wewe ni nani umkatae?
anakimbiwa na wanachama kama Chadema tu kwasababu ya uropokaji wake unaofanana na ule wa viongozi wa chadema 🐒
 
Kwa yaliyotokea October 29 mwaka jana huenda chama kitadumu milele.
 
Kiuhalisia CCM ilishajifia siku nyingi TU.
Tukubali tukatae CCM bila Vyombo vya Ulinzi na usalama hakiwezi kushinda uchagzi ulio katika Hali ya uhuru na haki.
Ndio maana CCM haiwezi kuruhusu Kuja kwa Katiba Mpya ambayo ndani yake Kutakua Kuna Tume huru ya Uchaguzi.
Kutakua Kuna Mamlaka kamaili ya Mihimili ya Dola,
Kutakua na Kutokuingiliwa kwa maamuzi ya wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na usalama na wanaSiasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…