Kanyafu Nkanwa
JF-Expert Member
- Jul 8, 2010
- 850
- 103
Tanzania imepewa TUZO kwa kuweza kufanya vema kuhusu kuandikisha watoto kwenda shule ya Msingi. Hii ni moja ya mambo muhimu sana kwa maendeleo ya Tanzania. Serikali imefanikiwa sana kwa hili. Tafadhali mpatieni habari hii Slaa ili awaeleze wananchi haya mafanikio ambayo Dunia nzima imeyakubali.
Kidumu chama cha Mapinduzi.
Kidumu chama cha Mapinduzi.