Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Ongeza amount ili fikra zitanuke uifikie kirahisi
Ongeza amount ili fikra zitanuke uifikie kirahisi
Hata sijaelewa,
Hicho kitanda ndo kitenga uchumi chako ambacho kitaingiza hiyo 12m au .......!
Amka.
Unachelewa sana mkuu, muda mzuri wa kuamka na akili iweze kuwa active mwanzo wa siku yako ni walau kuanzia saa 10 alfajiri, unaamka saa mbili kasoro asubuhi fahamu umeshapitwa na mengi, hata riziki piaLeo nimeamka saa1:54 (7:54am)
Mwaka huu malengo yangu ni kufikisha Milion 12.Ikumbukwe sijawai fika zaidi ya milion 6 ambayo nishafika mara moja nikadumu kwa mwezi mmoja.
MWAKA HUU NIMEJIPANGIA SAVING NIFIKE Milion 12.
Ikumbukwe saizi sina hata sumni
NISHAURINI MBINU ZA KUFIKIA
View attachment 2771377
NB: Udhaifu wangu mkuu ni kupenda kitanda
Unachelewa sana mkuu, muda mzuri wa kuamka na akili iweze kuwa active mwanzo wa siku yako ni walau kuanzia saa 10 alfajiri, unaamka saa mbili kasoro asubuhi fahamu umeshapitwa na mengi, hata riziki pia
Hapana! Unaamka saa kumi alfajiri unalala saa tano usiku.mkuu kuamka saa 10 hurudi kulala tena??? au ikifika saa 12 unajifunika kidogo
Hapana! Unaamka saa kumi alfajiri unalala saa tano usiku.
Siku zote dawa ni chungu ndugu, mafanikio pia yana gharama zakehivi hii ratiba ina tekelezeka !! Nikiamka saa10 mchana lazima nisinzie