Nimekuta watu wanajadili kuhusu malengo ya Nusu fainali na Kuwa na point mbili nadhani watakiwa wanaizungumzia Klabu ya Union Berlin ya ujerumani ambayo imeshika mkia kundi C linaloongozwa na Real Madrid.
Nb. Zile kelele za Yanga ya mwisho Kwenye kundi Ina point 2 Bado zipo huko kwenu?
Huu muda uliopoteza kuandika huu ujinga,ungeutumia vyema ungepata faida zaidi, Hizi aibu ndogondogo mbona zinaepukika! Sometimes ficha ujinga wako, sio lazima kila mtu ajue.