Ndo inakuaje?Birth pool
Mtoto anajielewa kama kirikou...Mtoto mmoja! Uchungu haukuniuma😂 madaktari walikazana kuniambia push mtoto atoke kimoyomoyo najiuliza nipush nini wakati namsikia mtoto anajisukuma mwenyewe?
Malengo 2026 ni kuoa.Hi people,
Heri ya mwaka mpya
Malengo yetu ya 2026 ni kupata mtoto wetu wa kwanza, napata mimba mwaka huu na kujifungua mwaka huu
Nachowaza ni kulea....sina experience ya kulea,sijawahi kukaa na mtoto mdogo kwa hata lisaa
Kingine nikiwaza kuchanika kei wakati wa kupush nachoka mimi
Kingine napenda utulivu,nikimpata mtoto anayelia lia sijui itakuwaje
Mambo ni mengi lakini yote kwa yote mwaka huu lengo kuu ni mtoto...nipo very excited actually
Wewe je?
Uzi bado....
View: https://youtu.be/Nm8d5ekU6Bs?si=rFwlEcjHFTpWTE8Q
Ngoja wanakuja😅Malengo yangu 2026 ni kumfungulia mkee wangu biashara. Sina malengo mengine
Kamanda agiza kinywaji nitalipa🫡Malengo yangu ni Kuwezesha Samia kuondoshwa kwenye dola
Ikawe heri Comred🔥👋Hi people,