Malengo yako ya mwaka 2024 uliojiweka umefanikiwa mangapi kuyatimiza hadi sasa?

Malengo yako ya mwaka 2024 uliojiweka umefanikiwa mangapi kuyatimiza hadi sasa?

Mkalukungone mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
862
Reaction score
1,755
Unapoanza mwaka mpya kila mmoja anakuwa na malengo yake ya mwaka husika anayohitaji kuyafikia ili kupiga hatua katika maisha yake.

Ukitazama sasa tumesalia mwezi mmoja kutoka sasa kukamilisha au kufunga mwaka 2024 bila shaka utakuwa unapicha nzuri ya kile ulichojiwekea malengo yako.

Tuambie je umefanikiwa hadi sasa au unaona mambo ni magumu au unasikilizia hadi siku ya mwisho ya mwaka?
 
Back
Top Bottom