Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Hii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu ajaliapo nafanya bading, baada ya mwaka moja miche itakua tayar kwa kuuza,michungwa ambayo natarajia kuwa nayo ni aina ya Valencia ambayo soko lake halisumbui
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri