Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
AmeenHARD WORK,PAYS OFF..Mungu akusimamie mkuu.
ThanksMove
Jitahidi ujue Afya ya udongo wa eneo unalotarajia kupanda hayo matunda.Soil PH ina impact kubwa Kwenye Ladha ya michungwa.Hii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu ajaliapo nafanya bading, baada ya mwaka moja miche itakua tayar kwa kuuza,michungwa ambayo natarajia kuwa nayo ni aina ya Valencia ambayo soko lake halisumbui
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri
Kila la kheri napenda sana kilimo na ufugaji....Hii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu ajaliapo nafanya bading, baada ya mwaka moja miche itakua tayar kwa kuuza,michungwa ambayo natarajia kuwa nayo ni aina ya Valencia ambayo soko lake halisumbui
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri
Kama hesabu hakk ni miche elfu2 basi jitahidi uzidishe hata miche mia ya kufidia hasara, kama kuna ambayo itakufa.Hii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu ajaliapo nafanya bading, baada ya mwaka moja miche itakua tayar kwa kuuza,michungwa ambayo natarajia kuwa nayo ni aina ya Valencia ambayo soko lake halisumbui
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri
Nahitaji kuanza kilimo cha machungwa Tanga, jamaa nae mtegemea kama mwenyeji wangu huko kilasiku ananirudi, naomba msaada na muongozo wako MkuuHii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu ajaliapo nafanya bading, baada ya mwaka moja miche itakua tayar kwa kuuza,michungwa ambayo natarajia kuwa nayo ni aina ya Valencia ambayo soko lake halisumbui
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri
Safi sana ndugu. Nimevutiwa pia. Je nikihitaji vikonyo vya hiyo michungwa ya valencia kwa ajili ya bading/pading kwa huku mwanza, napataje. Naomba muongozo. AsanteHii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu ajaliapo nafanya bading, baada ya mwaka moja miche itakua tayar kwa kuuza,michungwa ambayo natarajia kuwa nayo ni aina ya Valencia ambayo soko lake halisumbui
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri
Walau ungeweka picha ya viriba tu ingetoa taswira nzuri kwa wengi ila bila picha ni Chai iliyotukuka,kila la kheriHii ni project ya miaka 3 ambayo nimeianza Rasmi mwaka jana kwa kuotesha kitalu cha milimau, na kuipanditikiza pembeni kwa ajili ya kufanyiwa bading, mwaka huu iko stages nzur tu na mwakani Mungu ajaliapo nafanya bading, baada ya mwaka moja miche itakua tayar kwa kuuza,michungwa ambayo natarajia kuwa nayo ni aina ya Valencia ambayo soko lake halisumbui
Makadirio ya mapato
Idadi ya miche ni 20000
Bei ya mche mmoja natarajia kuuza Tsh 1500
Hivyo makadirio ya mapato ni
20000×1500=30000000/=
Nimeshaianza safari Namuomba Mungu aniwezeshe
Hii project kwa 100% naifanya mwenyewe
Karibu kwa ushauri, kuuliza au kuomba ushauri
Njoo pmNahitaji kuanza kilimo cha machungwa Tanga, jamaa nae mtegemea kama mwenyeji wangu huko kilasiku ananirudi, naomba msaada na muongozo wako Mkuu
Njoo pm tuyajengeNahitaji kuanza kilimo cha machungwa Tanga, jamaa nae mtegemea kama mwenyeji wangu huko kilasiku ananirudi, naomba msaada na muongozo wako Mkuu