Malengo yangu ya kuweka Tsh 20,000 kila siku

Hongera sana dogo,.hapo kwenye "kusoma vitabu" umenifurahisha zaidi,...usiache utamaduni huo..all the best kwako.
 
Mkuu nipe siri ya biashara ulioianzisha maana hata mimi nikijana natamani niwe na maendeleo na ninamtaji mdogo ila sijui nianzie wapi au nianzishe biashara gani. Please help me for you're opnion
 
Ongera pambana. Ongeza maalifa kwa kusoma vitabu na jitaidi kuwa na malafiki wenye upeo mkubwa wa kufikili. Kwa sasa upo kwenye njia sa hii. Ila watu waina mbili wanaweza kukupindisha njia uliyokuwepo na kukupitisha nyingine. Watu ao ni 1) rafiki 2) mpenzi
 
Mkuu nipe siri ya biashara ulioianzisha maana hata mimi nikijana natamani niwe na maendeleo na ninamtaji mdogo ila sijui nianzie wapi au nianzishe biashara gani. Please help me for you're opnion
We Kama Mimi aisee
 
We Kama Mimi aisee
May be tubadilishane uzoefu kama vile uniambie biashara ambayo inaenda kwa sana huko kwenu ambayo haipo/ipo kwa uchache huku nilipo sawa rafiki ambaye ndiye ndugu yangu ijapokuwa hatukuzaliwa kwa tumbo moja.
 
Nina mashaka na Elimu yako, kwa sasa f4 kuandika hivi sikawaida, Jerry Muro ana masters lakn sidhan kama anaweza kuandika hivyo.Hongera sana kijana.
Acha kukalili kama mzee, uwelewa haupimwi kwa shule zenu za kata hizi, na elimu iliyojaa siasa, maalifa bora yanajengwa kwa kula chakula bora cha ubongo, nacho ni usomaji wa vitabu. Huyu dogo alishasema mda mwingi anasoma sana vitabu.
 
Nina mashaka na Elimu yako, kwa sasa f4 kuandika hivi sikawaida, Jerry Muro ana masters lakn sidhan kama anaweza kuandika hivyo.Hongera sana kijana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nakojoaaaa in manges voice
 
Acha kukalili kama mzee, uwelewa haupimwi kwa shule zenu za kata hizi, na elimu iliyojaa siasa, maalifa bora yanajengwa kwa kula chakula bora cha ubongo, nacho ni usomaji wa vitabu. Huyu dogo alishasema mda mwingi anasoma sana vitabu.
Mbona mm ni mzee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…