M MINOCYCLINE JF-Expert Member Joined Apr 2, 2015 Posts 8,018 Reaction score 16,802 Apr 3, 2015 #1 pale ambapo wanandoa wamegombana hadi kupelekea wao kuachana yule mtoto au watoto wale kisheria watatakiwa kuishi na nani?
pale ambapo wanandoa wamegombana hadi kupelekea wao kuachana yule mtoto au watoto wale kisheria watatakiwa kuishi na nani?
Zamaulid JF-Expert Member Joined May 25, 2009 Posts 19,697 Reaction score 15,497 Apr 3, 2015 #2 umri wa motto tafadhari
nameless girl JF-Expert Member Joined Apr 22, 2012 Posts 4,195 Reaction score 2,678 Apr 4, 2015 #3 chini ya miaka 7 anakua chini ya uangalizi wa mama.
E elimsu Member Joined Aug 27, 2010 Posts 31 Reaction score 3 Apr 4, 2015 #4 nameless girl said: chini ya miaka 7 anakua chini ya uangalizi wa mama. Click to expand... Sio lazima itategemeana kama itathibitika mtoto hataweza kupata malezi bora jukumu hilo anaweza kupewa baba.
nameless girl said: chini ya miaka 7 anakua chini ya uangalizi wa mama. Click to expand... Sio lazima itategemeana kama itathibitika mtoto hataweza kupata malezi bora jukumu hilo anaweza kupewa baba.