Malezi ya mzazi mmoja

Malezi ya mzazi mmoja

blackstone

Senior Member
Joined
Aug 11, 2015
Posts
147
Reaction score
128
Habari zenu wakuu
Ivi kuna madhara yoyote yakitabia na kisaikolojia au kimahusiano anayopata mtu aliyelelewa na mzazi mmoja labda mama peke yake au baba peke yake,ni jinsi gani kukabiliana nayo kimakuzi ili kuhisi uwepo wa wazazi wote hata kama kiuhalisia yupo mmoja na mwingine hayupo.
 
Back
Top Bottom