Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Watoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi.
Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo, sumu n.k
Kutokuwasimamia watoto hawa, kunaweza kusababisha madhara, kama vile; kunywa maji machafu, kula vinyesi vya wanyama, kutumia vitu vya ncha kali, kucheza na wanyama hatari, kula vitu vyenye sumu n.k