Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Wanapitia mazingira mengi hatarishi, lakini Mungu anawapigania.Malaika hao hujilinda wenyewe tu, au basi hulindwa na Mungu.
Kweli mkuuKwakweli Watoto wanalindwa na Mungu.
Hivi ni kweli nyoka anaweza kucheza na mtoto na asimdhuru, nasikia kuna baadhi ya nyoka huwa wanaweza kucheza na watoto. Hiyo kitu ni kweli au
Wewe hebu achaKwa huyo pork hamna tatizo sana hata kama atapata infections atatibiwa atapona.
Mbaya ni zile issue za Kenya housemaids kuwalisha huko chini kwao I mean kuwanyonyesha pu$$¥ zao chafu just imagine mtoto analishwa kemikali kali kutoka shamba,katoto kanavuna cancer ya koo hata hakajitambui.
Kitendo cha nyoka kumng'ata mtu na kumuachia meno yake ni cha maumivu sana kwake, hufanya hivyo ili kujilinda, lakini sio kama anapenda kufanya hivyo.Hivi ni kweli nyoka anaweza kucheza na mtoto na asimdhuru, nasikia kuna baadhi ya nyoka huwa wanaweza kucheza na watoto. Hiyo kitu ni kweli au
Kuna video moja ilitumwa kwenye group ikiwa na address ya Kenya mwenye nyumba aliamua aweke camera Kwa siri ndani ya nyumba upande wa sitting room na corridor,kwa maelezo yake siku hiyo alikuwa idle hana cha kufanya akakumbuka ngoja ktk camera aangalie humo ndani nini kinachoendelea wakiwa hawapo yeye na mkewe?alijuta!!!Wewe hebu acha
Be blessedWatoto wanapokuwa wadogo wanatakiwa kuwa na uangalizi wa karibu, uwe wa mzazi au mlezi.
Hii inatokana na watoto hao, kutokuwa na utambuzi wa baadhi ya vitu, kama vile: wadudu, maji taka, mifugo, sumu n.k
Kutokuwasimamia watoto hawa, kunaweza kusababisha madhara, kama vile; kunywa maji machafu, kula vinyesi vya wanyama, kutumia vitu vya ncha kali, kucheza na wanyama hatari, kula vitu vyenye sumu n.k
Sooooooo soooo sadKuna video moja ilitumwa kwenye group ikiwa na address ya Kenya mwenye nyumba aliamua aweke camera Kwa siri ndani ya nyumba upande wa sitting room na corridor,kwa maelezo yake siku hiyo alikuwa idle hana cha kufanya akakumbuka ngoja ktk camera aangalie humo ndani nini kinachoendelea wakiwa hawapo yeye na mkewe?alijuta!!!
Alimshuhudia mwanae anampiga deki beki tatu kwenye sofa beki tatu mkono mmoja umeshika kwa hisia kwenye angle za kochi mkono mwingine kamgandamiza mtoto kichwa kwenye kopo lake nusu kukosa pumzi jamaa aliitafuta bastola yake alikoiweka akampasue housegirl kichwa bahati yake mkewe aliihamisha ilipokuwa.
Machozi yalinitoka.