Malezi ya wazazi wa siku hizi na dosari zake!

Hiyo ya kususa nilishawahi fanya hivyo,Maza alinipa kipigo cha hatari na Mzee alivyorudi akapewa taarifa na yeye akanipa kisago heavy na usiku nikambiwa si umesusa sasa hakuna kula kalale,we tokea siku iyo sijawahi jaribu fanya huo ujinga tena
 
Wataendelea kuharibika Kama wanaume wataendelea kuwa deadbeat dads.
 
Yaani mwanangu 2yrs kadondosha remote makusudi nimemtia makofi kinoma[emoji16][emoji16][emoji16] then hata simu yangu hagusi dadeki [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] Sitaki mambo ya kina Junior Noo[emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]
 
Hiyo ya kususa nilishawahi fanya hivyo,Maza alinipa kipigo cha hatari na Mzee alivyorudi akapewa taarifa na yeye akanipa kisago heavy na usiku nikambiwa si umesusa sasa hakuna kula kalale,we tokea siku iyo sijawahi jaribu fanya huo ujinga tena
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Umenikumbusha home tulikuwa tunakaa na mtoto wa ma mkubwa... Kipindi ye yupo la saba mimi la tano.. Basi baba akatununulia mabegi ya shule, mie bwana nikaanza kulia langu baya sista yule wamempendelea lake zuri, Maza akaniangaliaaa kisha akakausha tu, wakapika mchana wakala na jioni nikanyimwa tena chakula.. Hiyo siku nilikula kikeki kimoja tu usiku, toka siku hiyo tukinunuliwa vitu silalamiki... Yaani ni unakomeshwa
 
Kwenye hili tunakosea sana na ndomana dunia ya sasa imejaa binadamu wenye less emotion,watoto wenyewe wanalelewa na mahousegirl unategemea nini
 
Mi huwa sina mazoea na mtoto yoyote. Ukileta ujinga nakuchapa na Mama yako hanifanyi kitu
 
na wale watoto ambao mama padre na mama ndo muelimishaji wa biblia lakini watoto wao kutwa wamo magetoni inakuwaje. ni mtoto mwenewe ajielewe tu
 
kuna siku nilikuwa nasikiliza mafundisho ya mchungaji Mitimingi. somo lilihusu malezi alisema nanukuu "misuli ya nidhamu inatoka kwa baba"

waefeso 6:4
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji1] ni balaa, huyo alikua kama mjeshi aisee. Ila kuna wakati mzazi usipokua kama mjeshi basi watoto ni lazima wakusumbue na waharibike aisee.
 
Duh, ni hatari sana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…