MALEZI

NASSARY E

Member
Joined
Jun 6, 2019
Posts
8
Reaction score
0
Malezi ni kitu kipana sana ambacho kinahusisha uhusiano wa mtoto, wazazi pamoja na mifumo ya kijamii,kiuchumi na hata mifumo ya kisiasa inayowazunguka.
Kijamii:
Malezi ya mtoto yanachangiwa pakubwa na mambo ya kijamii ikiwemo elimu na mengineyo.
Hapa uhusiano wa mwalimu na mwanafunzi ndio unaofuatwa.
Mwalimu akishirikiana na mwanafunzi, ana mchango mkubwa sana wa kubadilisha maisha au namna ya ukuaji ya mwanafunzi.

Kisiasa:
Mtoto anakua akiona matukio ya kisiasa yanayoendelea kwenye jamii inayomzunguka. Mfumo wa utawala,misingi ya uongozi tofauti na vile anavyofundishwa darasani, Ananakili yale anayoona yanamfaa kisha maisha yanaendelea.

Kiuchumi:
Shughuli za kiuchumi zinazoendelea kwenye jamii husika zinahusika kumweka mtoto katika aina fulani ya malezi.

Asanteni

Naitwa NASSARY
Nicheki Twitter Mshambaflan1
 
Mimi kilio changu ni kwa wazazi Hasa wenye watoto wakike mfano viwanafunzi waleeni kwenye malezi mazuri wasije wakatutia matatizoni

Malenzi yenu mabovu ndo yanafanya vijana tuingie kwenye changamoto na matatizo kama vile miaka 30 jela .halafu mnatulaumu kumbe nyie mnasababisha halafu mnatufunga sjui mnachuki na sisi vijana
 
Wanawafanyaje hao mabinti? Wanawabakeni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…